MATOKEO mabaya inayopata Tanzania Prisons, yamewafanya viongozi warudi kwa wachezaji askari Jumanne Elfadhili, Salum Kimenya ...
HUKO mtandaoni bado mashabiki wa soka wana hasira kutokana na kuahirishwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo iliyokuwa ipigwe ...
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameshangazwa na maneno anayoambiwa na mashabiki wa Manchester United wanayomwambia ...
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema wanahitaji nidhamu bora ya kiuchezaji wakati kikosi kikijiandaa kuivaa Yanga ...
HESABU za ubingwa kwa Majogoo wa Jiji la Liverpool zinatoa matumaini katika kutwaa taji la Ligi Kuu England msimu huu baada ...
Yanga imetoa msimamo mzito ikisema haitakubali kurudiana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara namba 184 huku ikidai pointi ...
WAKATI mambo yakionekana kumnyookea baada ya kupitia kipindi kigumu akiwa na Manchester United, mapya yaibuka tena kwa ...
Daktari wa klabu ya Pamba Jiji, Joseph Chacha amesema wachezaji wako sawa kiafya baada ya ajali ya gari iliyotokea leo mkoani ...
ROMA ipo tayari kusikiliza ofa kutoka timu nyingine juu ya straika wao raia wa England, Tammy Abraham ambaye msimu huu ...
KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema kuwa hana uhakika juu ya hatma yake na kusisitiza kwamba ataondoka ikiwa ...
MARA nyingi maamuzi ya kisiasa huwa ni ya kuangaliana usoni na si kuangalia suala la msingi linalotakiwa litafutiwe ufumbuzi.
NAMNA ambavyo shabiki mmoja na wenzake wamejibana katika Coaster la kutoka Simiyu kuja Dar es Salaam kutazama pambano ...