Amesema cheti cha ndoa ni muhimu kwa mme na mke kwani suala la kuishi pamoja kwa muda mrefu si kigezo pekee ambacho kinahalalisha ndoa bali kama hakuna cheti cha ndoa yanabaki kuwa makubaliano binafsi ...
ENGLAND: Manchester City VS Arsenal: Septemba Uwanja wa Etihad Arsenal waliongoza, kisha Leandro Trossard akala umeme wakawa ...
Aston Villa wanakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji Marcus Rashford kutoka Manchester United. Rashford anajiunga na Villa kwa ...
SERIKALI ya Israel imewaachilia wafungwa 183 wa Kipalestina, muda mfupi baada ya Wanamgambo wa Hamas kuwaachilia mateka ...
UJERUMANI : ALIYEKUWA Rais wa Ujerumani Horst Köhler amefariki dunia leo jumamosi (01.02.2025) baada ya kuugua kwa muda mfupi ...
Mpogolo ameeleza hayo wakati wa zoezi maalum la usafi lililofanyika leo siku ya jumamosi Februari Mosi, 2025 kwa Kanda namba ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo, iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ...
MWILI wa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu, Latifa Juma ,17, aliyepoteza maisha kwa kujinyonga ...
WATU wanne wamepandisha kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka 49 yakiwemo kuongeza genge ...
CONGO : WANAJESHI wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakisaidiana na jeshi la Burundi, wamefanikiwa kufanya ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya ...
ZANZIBAR: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, CPA Amos Makalla amesema soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa ...