Kinyang’anyiro hicho kina wagombea watatu: Raila Odinga wa Kenya, Richard Randriamandrato wa Madagascar na Mahamoud Ali Youssouf wa Djibouti. Jamhuri ya Madagascar imeibuka kuwa mgombea pekee kutoka ...
Mbali na Richard Randriamandrato wa Madagascar, kinyang’anyiro hicho kinajumuisha pia Raila Odinga wa Kenya na Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahamoud Ali Youssouf. Kwa sasa, Odinga ndiye mgombea ...