Leo Februari 2, 2025 zinatarajiwa kugawiwa tuzo za Grammy ambazo zitakuwa za 67 kufanyika tangu kuanzishwa kwake Mei 4, 1959. Wakati baadhi ya vinara wakisubiriwa kuandika historia leo ...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema aliagiza mashambulizi ya anga ya kijeshi dhidi ya mpangaji mkuu wa mashambulizi na wanachama wengine wa kundi la kigaidi la ISIS nchini Somalia.
Wajumbe 84 wa mkutano mkuu wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), wamemchagua, Richard Lyimo kuwa Mwenyekiti wa chama ...
Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Staa wa Manchester United Marcus Rashford, anatarajiwa muda wowote kuanzia sasa kufanya vipimo vya afya ili kujiunga na Aston ...
MECHI 23 tu zimetosha kwa Simba kuamini kiungo wake fundi Jean Charles Ahoua ni mali inayotakiwa kulindwa ipasavyo na kuendelea kuvaa jezi ya timu hiyo.
Miaka ya hivi karibuni bibi na babu wamekuwa wakikwepa kuishi na wajukuu, huku baadhi ya sababu zikitajwa ni maisha kuwa ...
Sektretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini jana Februari Mosi 2025. Kwa jumla maswali ...
Sektretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini jana Februari Mosi 2025. Kwa jumla maswali hayo, yanaongeza shinikizo la kujulikana kwa wahusika, hatua ...
Sektretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini jana Februari Mosi 2025. Kwa jumla maswali hayo, yanaongeza shinikizo la kujulikana kwa wahusika, hatua ...
MANCHESTER City inasema huko kwenu Erling Haaland atakabwa na nani...Arsenal inajibu huku kwetu yupo Gabriel Magalhaes haachi ...
Alikuwa ni mwanamke mzuri, mrembo kupita maelezo. Alikuwa ni mwanamke anayeweza kubeba sifa zote tamu na bado akabaki na nafasi ya kupokea zingine.