Amesema cheti cha ndoa ni muhimu kwa mme na mke kwani suala la kuishi pamoja kwa muda mrefu si kigezo pekee ambacho kinahalalisha ndoa bali kama hakuna cheti cha ndoa yanabaki kuwa makubaliano binafsi ...
ENGLAND: Manchester City VS Arsenal: Septemba Uwanja wa Etihad Arsenal waliongoza, kisha Leandro Trossard akala umeme wakawa ...
SERIKALI ya Israel imewaachilia wafungwa 183 wa Kipalestina, muda mfupi baada ya Wanamgambo wa Hamas kuwaachilia mateka ...
UJERUMANI : ALIYEKUWA Rais wa Ujerumani Horst Köhler amefariki dunia leo jumamosi (01.02.2025) baada ya kuugua kwa muda mfupi ...
MWILI wa mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu, Latifa Juma ,17, aliyepoteza maisha kwa kujinyonga ...
MKUU wa Shule ya Sekondari Chambo, iliyopo katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyi ...
WATU wanne wamepandisha kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka 49 yakiwemo kuongeza genge ...
Aston Villa wanakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji Marcus Rashford kutoka Manchester United. Rashford anajiunga na Villa kwa ...
CONGO : WANAJESHI  wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakisaidiana na jeshi la Burundi, wamefanikiwa kufanya ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kusimamia ukusanyaji wa mapato ...
Mpogolo ameeleza hayo wakati wa zoezi maalum la usafi lililofanyika leo siku ya jumamosi Februari Mosi, 2025 kwa Kanda namba ...
IMEELEZWA kuwa mashamba yasiyoendelezwa yamekua chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi wilayani Kakonko mkoani Kigoma ikiwemo ...