WAKATI Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ikiwataka wadau wa soka kuwa watulivu kipindi hiki wakiendelea kusubiri taarifa itakayotolewa kueleza kwa nini mchezo wa Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi ...
MECHI ya 'Dabi' iliyokuwa ichezwe Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, iliota mbawa Jumamosi iliyopita baada ya kutokea mtafaruku wa watu wanaosemekana ni mabaunsa wa Yanga kuzuia msafara wa ...